Saturday, May 31, 2014
TETESI ZA SOKA WEEKEND HII
TETESI ZA SOKA WEEKEND HII Meneja Wa Arsenal Arsene Wenger yuko tayari kutumia kitita cha paundi milioni 100 za usajili baada ya yeye mwenyewe kusaini mkataba wa miaka mitatu (Daily Mail), QPR wanataka kumsajili beki wa Man City Joleon Lescott (Daily Mirror), klabu ya Montpellier ya Ufaransa imeiambia Newcastle lazima watoe paundi milioni 12 kumsajili kiungo mshambuliaji Remy Cabella (Guardian), rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amezionya Arsenal na Manchester United kuw...a Cesc Fabregas hauzwi (Metro), Valencia watapambana vikali na Liverpool na Everton kusaka saini ya Thorgan Hazard, mdogo wake Edin Hazard wa Chelsea (Daily Express), Manchester United huenda wakawazidi kete Liverpool katika kumsaini kiungo wa Ukraine Yevhen Konoplyanka kutoka FC Dnipro (Talksport), Demba Ba anafanya mazungumzo na Besitkas kuhamia klabu hiyo ya Uturuki kwa paundi milioni 8 (Daily Mirror), Meneja mpya wa Barcelona Luis Enrique anataka Sergio Aguero wa Manchester City kuwa mchezaji wake wa kwanza kumsajili. Barcelona iko tayari kutoka Euro milioni 38 (Sport), mshambuliaji wa PSG Edison Cavani hatosikiliza dau la Man United kwa sababu United hawachezi Champions League msimu ujao, na atasalia Ufaransa (L'Equipe), Liverpool inajiandaa kutoa paundi milioni 20 kumnunua Alexis Sanchez kutoka Barcelona. NA HATIMAYE...Takriban watu 700 katika jimbo la Catalan la Spain wamewapa jina la Messi, mbwa na paka wao. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa, ni watu 10 tu wamewapa wanyama wao jina la Ronaldo wa Real Madrid. Share tetesi hizi na wapenda soka wote. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Adios!
Friday, May 30, 2014
Bado tupo katika kuendeleza soka kwa watoto japo ni katika mazingira magumu bt tumeweza kugundua watoto hasa wa kiafrika wakiwezeshwa wanaweza kwa kiwango kikubwa mnoo huu hapa ni mfano halisia wa kijana joseph minala mwenye umri wa miaka 17 amabye anachezea club ya lazio ya italia bt muonekano wake na umri wake ndio moja kati ya vitu vilivyoleta mtafaruku mnooo
Meet Joseph Minala - the 17-year-old Lazio youth team midfielder accused of really being 41
Joseph Minala might look older, but he's definitely only 17-years-old, say his club
Joseph Minala, the 17-year-old Cameroonian footballer on the books at Lazio, has been the centre of a storm recently.
Some have questioned his age, after claims he told an African website that he is 41-years-old, which would render him ineligible to play for Lazio's youth sides.
But now Le Aquile have threatened legal action against anybody who questions the legitimacy of his age.
"We reserve the right to take action against those responsible for the protection of the good name of the company and the footballer."
Jospeh Minala also released a public statement via Lazio's website, in which he denies that he gave quotes regarding his age to the African website Senogo.net.
"I have read the alleged statements posted on the website senego.net in which it says I confessed my real age which was different to what was stated in my [official] documents.
"They are false statements that have been attributed to me by people who do not know."
Subscribe to:
Comments (Atom)

