Tuesday, December 31, 2013

Hizi ni moja kati ya Academy nyingine nyingi zilizo kuwapo hapa Arica na ndio chanzo cha wachezaji wenye majina makubwa






Huu ndio uhalisia wa lengo la SwahiliAkademia


SwahiliAkademia  watu wengi au wadau wa mchezo huu wa soka watakuwa wanajiuliza ni kitu gani..!
     Swahili Akademia ni wazo la kijana Hussein Msumbwa ambae yeye ni trainer wa watoto  wa umri kati ya miaka 7 na kuendelea katika shule ya INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA (I.S.T), na mbali ya wanafunzi kijana Hussein aliamua kuzungumza na wazazi katika maeneo ya Msasani anapoishi na kuanza kukusanya watoto wakati wa jioni na kuwafundisha kucheza mpira na idadi inaongezeka siku hadi siku na ndipo akaamua kuiweka katika mtamdao kila hatua wanayo fikia katika kuwa train vijana na lengo la kuwa na blog hii ni kukupa up to dates zooote zinazoendela kwa vijana waha wadogo japo wanaishi na wazazi wao bt kwa ule muda mdooog tunaokuwa nao michezoni ni kuwajenga vijana imara  na tegemeo kwa taifa la kesho kupitia michezo.
Furha hii ni kwaa jili yenu wadau na hata makocha ,viongozi kututembelea katika blog yetu kutoa maoni michango, vifaa kwa ajili ya watoto n.k.